Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule za msingi sasa upo tayari. Kama ilivyo mifumo mingine ya kuandalia ripoti kwa O-level na A-level pia mfumo huu unachakata matokeo ya aina saba wakati mmoja ambayo ni ripoti ya kila mwanafunzi, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja, dondoo ya matokea ya jumla, Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri na Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya kama inavyoonesha picha hapa chini
1. RIPOTI YA MWANAFUNZI
Mfumo unamwezesha mwalimu kutuma ripoti kwa wazazi/walezi kwa njia ya SMS kwa kutumia software ya DRPU Bulk SmS bila mtandao (internet).
Kwa maelekezo na msaada zaidi namna ya kutumia mfumo au kupata software ya DRPU Bulk SmS piga +255712824390 au +255625864256
Kwa Mahitaji ya Mfumo mzima wenye uwezo wa kutoa ripoti zaidi ya 50 Kuligana na Idadi ya wanafunzi wako Gharama zake ni nafuu sana, itategemea idadi ya wanafunzi unayohitaji katika mfumo (System Capacity, SC100, SC200, SC300, SC400, SC500, n.k). Tuma maombi kwa kujaza fomu yetu inayopatikana katika kiungo "TUMA MAOMBI YAKO HAPA" au ORDER NOW ili uweze kuipata Mifumo hii
SARPS O LEVEL | SARPS A LEVEL | |
---|---|---|
No comments:
Post a Comment