GHARAMA ZA MFUMO WA KUANDALIA RIPOTI ZA WANAFUNZI (SARPS)
Gharama za Mfumo wa kuandaa ripoti za wanafunzi mashuleni unategemea mambo matatu yafuatayo;
- Aina ya mfumo yaani mfumo wa shule za msingi ambao hauna matoleo mawili na Mfumo wa sekondari ambao una matoleo mawili
- Toleo la mfumo (Hii ni Mifumo ya Sekondari tu)
- Idadi ya ripoti zinazoweza kutolewa na Mfumo (System Capacity).Mfumo unaweza kutoa ripoti za wanafunzi 100, 200, 300, 400, 500, 600 na 800 kwa kutumia SC100, SC200, SC300, SC400, SC500, SC600 na SC800.
UWEZO | GHARAMA |
---|---|
SC100
|
30,000/=
|
SC200
|
50,000/=
|
SC300
|
80,000/=
|
SC400
|
90,000/=
|
SC500
|
100,000/=
|
SC600
|
110,000/=
|
SC800
|
130,000/=
|
SC1000
|
150,000/=
|
UWEZO | GHARAMA ZA MFUMO | |
---|---|---|
Toleo la Kwanza
|
Toleo Jipya
|
|
SC100
|
30,000/=
|
50,000/=
|
SC200
|
50,000/=
|
80,000/=
|
SC300
|
80,000/=
|
110,000/=
|
SC400
|
90,000/=
|
130,000/=
|
SC500
|
100,000/=
|
150,000/=
|
SC600
|
110,000/=
|
160,000/=
|
SC800
|
130,000/=
|
170,000/=
|
SC1000
|
150,000/=
|
200,000/=
|
Dah. Nashukuru sana. Hii gharama ni kwa ajili ya kutengenezewa au ni kwa ajili ya kufundishwa kazi
ReplyDeleteGharama hii ni ya kutengenezewa mfumo
Delete