SARPS - A LEVEL

Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule kidato cha tano na sita sasa upo tayari. Kama ulivyo mfumo wa kuandalia ripoti kwa kidato cha I hadi IV pia mfumo huu unachakata matokeo ya aina nane kwa wakati mmoja ambayo ni ripoti ya kila mwanafunzi, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja, dondoo ya matokea ya jumla, Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri, Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya na ISAL kama inavyoonesha picha hapa chini

1. RIPOTI YA MWANAFUNZI

2. MKEKA UNAOONESHA MATOKEO YA WANAFUNZI KWA ALAMA ZAO

3. MKEKA UNAOONESHA MATOKEO YA WANAFUNZI KWA MADARAJA YAO

4. MKEKA UNAOONESHA MATOKEO YA WANAFUNZI KWA ALAMA NA MADARAJA

5. DONDOO YA MATOKEO YA JUMLA

6. ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI

7. ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIBAYA

8. ISAL

Mfumo unamwezesha mwalimu kutuma ripoti kwa wazazi/walezi kwa njia ya SMS kwa kutumia software ya DRPU Bulk SmS bila mtandao (internet).
Kwa maelekezo na msaada zaidi  namna ya kutumia mfumo au kupata software ya DRPU Bulk SmS piga  +255712824390  au  +255625864256

Kwa Mahitaji ya Mfumo mzima wenye uwezo wa kutoa ripoti zaidi ya 50 Kuligana na Idadi ya wanafunzi wako Gharama zake ni nafuu sana, itategemea idadi ya wanafunzi unayohitaji katika mfumo (System Capacity, SC100, SC200, SC300, SC400, SC500, n.k). Tuma maombi kwa kujaza fomu yetu inayopatikana katika kiungo "TUMA MAOMBI YAKO HAPA" au ORDER NOW ili uweze kuipata Mifumo hii



SARPS
PRIMARY
SARPS
O LEVEL
 





No comments:

Post a Comment