Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule za sekondari kidato cha I hadi IV (SARPS O LEVEL) unachakata matokeo ya aina kumi na mbili (12) kwa wakati mmoja ambayo ni
- Ripoti ya kila mwanafunzi,
- Mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu,
- Mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu,
- Mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja,
- Dondoo ya matokea ya jumla,
- Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri,
- Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya,
- Mkeka Unaoonesha wanafunzi waliofanya vizuri na vibaya katika Tahasusi,
- Orodha ya wanafunzi 10 bora kiujumla,
- Orodha ya wanafunzi 10 wa mwisho kiujumla,
- Orodha ya wanafunzi 10 bora kwa kila somo,
- Orodha ya wanafunzi 10 wa mwisho kwa kila somo,
- ISAL
1. RIPOTI YA KILA MWANAFUNZI
3. MKEKA UNAOONESHA ALAMA TU
4. MKEKA UNAOONESHA ALAMA NA MADARAJA
5. MUKHUTASARI WA UFAULU WA KILA SOMO
6. ORODHA YA WANAFUNZI WALIFANYA VIZURI
7. ORODHA YA WANAFUNZI WALIFANYA VIBAYA
8. ORODHA YA WANAFUNZI 10 BORA NA WANAFUNZI 10 WA MWISHO KIUJUMLA
9. ORODHA YA WANAFUNZI 10 BORA KWA KILA SOMO
10. ORODHA YA WANAFUNZI 10 WA MWISHO KWA KILA SOMO
11. MKEKA WA COMBINATIONS
Mfumo unamwezesha mwalimu kutuma ripoti kwa wazazi/walezi kwa njia ya SMS kwa kutumia software ya DRPU Bulk SmS bila mtandao (internet).
Kwa maelekezo na msaada zaidi namna ya kutumia mfumo au kupata software ya DRPU Bulk SmS piga +255712824390 au +255625864256
Kwa Mahitaji ya Mfumo mzima wenye uwezo wa kutoa ripoti zaidi ya 50 Kuligana na Idadi ya wanafunzi wako
SARPS PRIMARY |
SARPS A - LEVEL |
|
---|---|---|
No comments:
Post a Comment